Baba Askofu katika Jimbo Katoliki Ifakara
Bishop. Salutaris Melchior LibenaJimbo Katoliki Ifakara lilitengwa kutoka jimbo katoliki Mahenge tarehe 14 Januari 2012. Liliwekwa rasmi tarehe 19 Machi 2012. Askofu wa kwanza ni Mhashamu Salutaris M. Libena. Naibu wa Askofu ni Padre Hospitio Itatiro, Katibu Mkuu ni Padre Godfrey Hongo, Naibu Katibu Mkuu ni Padre Edwin Lyanga na Mtunza Hazina ni Sr. Patricia Mtunga.
Soma zaidiTaarifa fupi inayoonesha idadi ya parokia na vituo vinavyotoa huduma za kijamii Jimbo la Ifakara